Hospitali ya Bunda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hospitali ya Bunda ilifunguliwa kwa mara ya kwanza mwaka 1992 ikitumika kama hospitali ya wilaya na kumilikiwa na Dayosisi ya Mbulu [1] iliyo chini ya kanisa la Walutheri.

Ni hospitali iliyopo katika wilaya ya Bunda mkoani Mara


Marejeo[hariri | hariri chanzo]