Orodha ya hospitali nchini Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii orodha ya hospitali nchini Kenya inataja baadhi tu kwa kufuata mikoa ya zamani.

Mkoa wa Nairobi[hariri | hariri chanzo]

Nairobi (Mji Mkuu)[hariri | hariri chanzo]

Jina Mahali Ilifunguliwa Ilifungwa
Hospitali ya Aga Khan Nairobi 1958
Hospitali ya Watoto ya Gertrudes Muthaiga 1947
Hospitali ya Karen Karen
Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta Nairobi
Hospitali ya Mariakani Cottage South B 1984
Hospitali ya Mater Misericordiae, Nairobi Industrial Area 1962
Hospitali ya Metropolitan Eastlands 1994
Hospitali ya Nairobi Nairobi 1914
Hospitali ya kanisa la Coptic Nairobi
Hospitali ya Nairobi West Nairobi
Hospitali ya St. Mary (Langata) Langata
Hospitali ya Wanawake ya Nairobi-Hurlingham Hurlingham, Nairobi 2001
Hospitali ya Wanawake ya Nairobi-Adams Adams Arcade, Nairobi 2009

Mkoa wa Kati[hariri | hariri chanzo]

Jina Mahali Ilifunguliwa Ilifungwa
Shirika la Utabibu la Kijabe AIC Kijabe 1915
Hospitali ya Consolata Nyeri 1937
Hospitali ya Nanyuki Cottage Nanyuki 1957
Hospitali ya PCEA Kikuyu Kikuyu 1908

Mkoa wa Pwani[hariri | hariri chanzo]

Jina Mahali Ilifunguliwa Ilifungwa
Hospitali ya Cost Hospice Mombasa 2001
Hospitali ya Diani Beach Diani 1997
Hospitali ya Aga Khan Mombasa 1944
Hospitali ya Mombasa Mombasa 1891

Mkoa wa Nyanza[hariri | hariri chanzo]

Jina Mahali Ilifunguliwa Ilifungwa
Hospitali ya Aga Khan Kisumu 1957
Hospitali ya Mkoa wa Nyanza Kisumu