Majadiliano ya mtumiaji:Kipala/kundinyota

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jina la Kiswahili Jina la Kilatini
(la Kimataifa)
Chanzo cha
Jina la Kiswahili
Maana ya Jina
Mara (lat.: Andromeda)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert) Mwanamke (kifupi cha "Mwanamke aliyefungwa kwa nyororo")
Pampu (lat.: Antlia)’’ (limetafsiriwa) Pampu ya hewa ilikuwa kitambo kipya wakati wa kubuniwa kwa kundinyota hii mnamo karne ya 18
Ndege wa Peponi (lat.: Apus)’’ (limetafsiriwa) Ndege wa Paradiso, kwa sababu ya rangi za ajabu na za kupendeza walizo nazo
Dalu (lat.: Aquarius)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Ukabu (lat.: Aquila)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Madhabahu (lat.: Ara)’’ (limetafsiriwa)
Hamali (lat.: Aries)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Hudhi (lat.: Auriga)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Bakari (lat.: Boötes)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Patasi (lat.: Caelum)’’ (limetafsiriwa)
Twiga (lat.: Camelopardalis)’’ (limetafsiriwa)
Saratani (lat.: Cancer)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Mbwa wawindaji (lat.: Canes Venatici)’’ (limetafsiriwa)
Mbwa Mkubwa (lat.: Canis Major)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Mbwa Mdogo (lat.: Canis Minor)’’ (limetafsiriwa)
Jadi (lat.: Capricornus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Mkuku (lat.: Carina)’’ (limetafsiriwa)
Mke wa Kurusi (lat.: Cassiopeia)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Kantarusi (lat.: Centaurus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Kifausi (lat.: Cepheus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Ketusi (lat.: Cetus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Kinyonga (lat.: Chamaeleon)’’ (limetafsiriwa)
Bikari (lat.: Circinus)’’ (limetafsiriwa)
Njiwa (lat.: Columba)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Nywele za Berenike (lat.: Coma Berenices)’’ (limetafsiriwa)
Kobe (lat.: Corona Australis)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Kasi ya Masakini (lat.: Corona Borealis)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Ghurabu (lat.: Corvus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Batiya (lat.: Crater)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Salibu (lat.: Crux)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Dajaja (lat.: Cygnus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Dalufnin (lat.: Delphinus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Panji (lat.: Dorado)’’ (limetafsiriwa)
Tinini (lat.: Draco)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Mwanafarasi (lat.: Equuleus)’’ (limetafsiriwa)
Nahari (lat.: Eridanus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Tanuri (lat.: Fornax)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Jauza (lat.: Gemini)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Kuruki (lat.: Grus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Rakisi (lat.: Hercules)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Saa (lat.: Horologium)’’ (limetafsiriwa)
Shuja (lat.: Hydra)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Nyoka Maji (lat.: Hydrus)’’ (limetafsiriwa)
Mhindi (lat.: Indus)’’ (limetafsiriwa)
Mjusi (lat.: Lacerta)’’ (limetafsiriwa)
Asadi (lat.: Leo)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Simba Mdogo (lat.: Leo Minor)’’ (limetafsiriwa)
Arinabu (lat.: Lepus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Mizani (lat.: Libra)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Dhibu (lat.: Lupus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Pakamwitu (lat.: Lynx)’’ (Washaki)
Kinubi (lat.: Lyra)’’ (Shaliaki, Sanja)
Meza (lat.: Mensa)’’ (limetafsiriwa)
Hadubini (lat.: Microscopium)’’ (limetafsiriwa)
Munukero (lat.: Monoceros)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Nzi (lat.: Musca)’’ (limetafsiriwa)
Pembemraba (lat.: Norma)’’ (limetafsiriwa)
Thumni (lat.: Octans)’’ (limetafsiriwa)
Hawaa (lat.: Ophiuchus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Jabari (lat.: Orion)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Tausi (lat.: Pavo)’’ (limetafsiriwa)
Farasi (lat.: Pegasus)’’ (limetafsiriwa)
Farisi (lat.: Perseus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Zoraki (lat.: Phoenix)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Mchoraji (lat.: Pictor)’’ (limetafsiriwa)
Hutu (lat.: Pisces)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Hutu Junubi (lat.: Piscis Austrinus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Shetri (lat.: Puppis)’’ (limetafsiriwa)
Dira (lat.: Pyxis)’’ (limetafsiriwa)
Nyavu (lat.: Reticulum)’’ (limetafsiriwa)
Sagita (lat.: Sagitta)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Kausi (lat.: Sagittarius)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Akarabu (lat.: Scorpius)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Najari (lat.: Sculptor)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Ngao (lat.: Scutum)’’ (limetafsiriwa)
Hayya (lat.: Serpens)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Sudusi (lat.: Sextans)’’ (limetafsiriwa)
Tauri (lat.: Taurus)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Darubini (lat.: Telescopium)’’ (limetafsiriwa)
Pembetatu (lat.: Triangulum)’’ (limetafsiriwa)
Pembetatu ya Kusini (lat.: Triangulum Australe)’’ (limetafsiriwa)
Tukani (lat.: Tucana)’’ (limetafsiriwa)
Dubu Mkubwa (lat.: Ursa Major)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Dubu Mdogo (lat.: Ursa Minor)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Tanga (lat.: Vela)’’ (limetafsiriwa)
Nadhifa (lat.: Virgo)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)
Panzimaji (lat.: Volans)’’ (limetafsiriwa)
Mbweha (lat.: Vulpecula)’’ Mabaharia Waswahili (Knappert)