Mashahidi wa Yehova : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
→Hoja dhidi yao: mashahidi wa Yehova |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha:Watchtower Bible & Tract Society (world headquarters).jpg|thumb|200px| |
[[Picha:Watchtower Bible & Tract Society (world headquarters).jpg|thumb|200px|MAKAO MAKUU YA MASHAHIDI WA YEHOVA, Warwick ,New York]] |
||
{{Ukristo}} |
{{Ukristo}} |
||
''' |
'''<big>MASHAHIDI WA YEHOVA:</big>''' (kwa [[Kiingereza]] '''Jehovah's Witnesses''') ni wafuasi wa [[dini]] jamii ya [[Ukristo]] ambayo ilianzia [[Marekani]] na kuenea [[ulimwengu|ulimwenguni]] kote. |
||
Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini [[Yesu]] kuwa [[Mungu]] sawa na [[Baba]], wala [[Roho Mtakatifu]] kuwa [[nafsi]], na kwa jumla hawakubali [[imani]] katika [[Utatu]] wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo [[madhehebu]] mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali [[ubatizo]] wao. |
Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini [[Yesu]] kuwa [[Mungu]] sawa na [[Baba]], wala [[Roho Mtakatifu]] kuwa [[nafsi]], na kwa jumla hawakubali [[imani]] katika [[Utatu]] wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo [[madhehebu]] mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali [[ubatizo]] wao. |
||
Mstari 10: | Mstari 10: | ||
== Hoja dhidi yao == |
== Hoja dhidi yao == |
||
Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, [[katazo |
Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, [[katazo|Kutokubali Matibabu yanayohusisha DAMU]], mara kadhaa wamekataa kujiunga na Jeshi kwasababu ya Dhamiri, Kusalimu Bendera za Taifa au Kuimba nyimbo za Taifa , pamoja na jinsi Huduma yao inavyogharimikiwa na Msimamo wao wa kutounga mkono Upande wowote katika SIASA au HARAKATI. |
||
Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini [[Tanzania]] wakati wa [[urais]] wa [[Julius Nyerere]] |
Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini [[Tanzania]] wakati wa [[urais]] wa [[Julius Nyerere]] . |
||
Kazaksatan,Eritrea na sasa wamepigwa Marufuku nchini URRUSI na Biblia yenye tafsili sahihi na lugha ya kisasa ya ULIMWENGU MPYA{New world translation} I metangazwa kuwa UCHOCHEZI {Extremist} Na wao kutangazwa kuwa watu wenye msimamo mkali wa kidini hali inayovunja UHURU WA IBADA na KUKATAA KUJIUNGA NA JESHI KWASABABU YA DHAMIRI. |
|||
Wenyewe wamekataa daima lawama hizo, lakini kila mwaka wengi wanajitenga nao. |
|||
==Tanbihi== |
==Tanbihi== |
||
Mstari 39: | Mstari 39: | ||
=== Tovuti rasmi === |
=== Tovuti rasmi === |
||
* [http://www.jw.org/sw/ Mashahidi wa Yehova] |
* [http://www.jw.org/sw/ Mashahidi wa Yehova] |
||
* [http:// |
* [http://tv.jw.org/#sw Mashahidi wa Yehova] |
||
=== Tovuti nyingine === |
=== Tovuti nyingine === |
Pitio la 17:04, 1 Januari 2018
MASHAHIDI WA YEHOVA: (kwa Kiingereza Jehovah's Witnesses) ni wafuasi wa dini jamii ya Ukristo ambayo ilianzia Marekani na kuenea ulimwenguni kote.
Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini Yesu kuwa Mungu sawa na Baba, wala Roho Mtakatifu kuwa nafsi, na kwa jumla hawakubali imani katika Utatu wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo madhehebu mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali ubatizo wao.
Mwanzilishi alikuwa Charles Taze Russell pamoja na kikundi cha wanafunzi wa Biblia (miaka ya 1870). Jina la sasa lilianza kutumika mwaka 1931.
Kwa sasa wako milioni 8.3 katika jumuia 119,485 (kadiri ya Kitabu cha Mwaka 2017 cha Mashahidi wa Yehova[1]). Ongezeko ni la asilimia 1.8 kwa mwaka.[2]
Hoja dhidi yao
Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, Kutokubali Matibabu yanayohusisha DAMU, mara kadhaa wamekataa kujiunga na Jeshi kwasababu ya Dhamiri, Kusalimu Bendera za Taifa au Kuimba nyimbo za Taifa , pamoja na jinsi Huduma yao inavyogharimikiwa na Msimamo wao wa kutounga mkono Upande wowote katika SIASA au HARAKATI.
Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini Tanzania wakati wa urais wa Julius Nyerere .
Kazaksatan,Eritrea na sasa wamepigwa Marufuku nchini URRUSI na Biblia yenye tafsili sahihi na lugha ya kisasa ya ULIMWENGU MPYA{New world translation} I metangazwa kuwa UCHOCHEZI {Extremist} Na wao kutangazwa kuwa watu wenye msimamo mkali wa kidini hali inayovunja UHURU WA IBADA na KUKATAA KUJIUNGA NA JESHI KWASABABU YA DHAMIRI.
Tanbihi
- ↑ 2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.
- ↑ 2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.
Marejeo
- Jehovah's Witnesses: Portrait of a Contemporary Religious Movement by Andrew Holden. An academic study on the sociological aspects of Jehovah's Witnesses phenomenon. Publisher: Routledge; 1st edition 2002, ISBN 978-0-415-26610-9.
- Jehovah's Witnesses—Proclaimers of God's Kingdom (1993) by Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania. Official history of the development of the beliefs, practices, and organisational structure of Jehovah's Witnesses.
- Counting the Days to Armageddon by Robert Crompton (1996). A detailed examination of the development of Jehovah's Witnesses' eschatology. James Clarke & Co, Cambridge, ISBN 0-227-67939-3.
- Millions Now Living Will Never Die by Alan Rogerson. Detailed history of the Watch Tower movement, particularly its early years, a summary of Witness doctrines and the organizational and personal framework in which Witnesses conduct their lives. Constable & Co, London, 1969. SBN 094559406
- State and Salvation by William Kaplan (1989). Documents the Witnesses' fight for civil rights in Canada and the US amid political persecution during World War II. University of Toronto Press, ISBN 0-8020-5842-6.
- Botting, Gary (1993). Fundamental Freedoms and Jehovah's Witnesses. University of Calgary Press. ISBN 1-895176-06-9.
- Botting, Heather and Gary (1984). The Orwellian World of Jehovah's Witnesses. University of Toronto Press. ISBN 0-8020-6545-7.
- Chryssides, George D. (2008). Historical Dictionary of Jehovah's Witnesses. Scarecrow Press. ISBN 0-8108-6074-0.
- Crompton, Robert. Counting the Days to Armageddon. James Clarke & Co, Cambridge, 1996. ISBN 0-227-67939-3
- A detailed examination of the development of Jehovah's Witnesses' eschatology.
- Penton, M. James (1997). Apocalypse Delayed: The Story of Jehovah's Witnesses. University of Toronto Press. ISBN 0-8020-7973-3. More than one of
|isbn13=
na|isbn=
specified (help) - Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania. Mashahidi wa Yehova—Imani Yenye Matendo, Sehemu ya 1: Kutoka Gizani (Mashahidi wa Yehova-Watu Wanaotenda kwa Imani, Sehemu ya 1: Kutoka Katika Giza), Mashahidi wa Yehova—Imani Yenye Matendo, Sehemu ya 2: Nuru na Iangaze (2010-2011) Official history of Jehovah's Witnesses.
Viungo vya nje
Tovuti rasmi
Tovuti nyingine
- 'Knocking' – A documentary about Jehovah's Witnesses. Sample Trailer
- Why Do Jehovah's Witnesses Grow So Rapidly: A Theoretical Explanation – Theory documented by sociologists Rodney Stark & Laurence R. Iannaccone.
- Who are Jehovah's Witnesses, What are their beliefs Chapter from book, Religious Denominations In The United States by Frank S. Mead, Samuel S. Hill and Craig D. Atwood, (2005). Abingdon Press.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |