1 Julai
Mandhari
(Elekezwa kutoka Julai 1)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Julai ni siku ya 182 ya mwaka (ya 183 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 183.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1890 - Mkataba wa Helgoland-Zanzibar kati ya Ujerumani na Uingereza
- 1960 - Somalia ya Kiitalia inapata uhuru
- 1962 - Nchi za Burundi na Rwanda zinapata uhuru kutoka Ubelgiji
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1381 - Mtakatifu Laurenti Giustiniani, askofu
- 1646 - Gottfried Leibniz, mwanafalsafa wa Ujerumani
- 1876 - Susan Glaspell, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1879 - Leon Jouhaux, kiongozi Mfaransa wa chama cha wafanyakazi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1951
- 1915 - Jean Stafford, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1929 - Gerald Edelman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1972
- 1941 - Alfred Gilman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1994
- 1952 - Brian George, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1964 - Guillermo Martín Abanto Guzmán, askofu Mkatoliki nchini Peru
- 1971 - Missy Elliott, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1986 - Agnez Mo, mwimbaji kutoka Indonesia
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1971 - Lawrence Bragg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915
- 2001 - Nikolai Basov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964
- 2004 - Marlon Brando, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Haruni, Martino wa Vienne, Domisiani wa Bebron, Teodoriko wa Reims, Eparki wa Angouleme, Golveni, Karilefi, Oliver Plunkett, Junipero Serra, Zhang Huailu, Yustini na Atilano n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |