Nenda kwa yaliyomo

Nikolai Basov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nikolai Basov

Nikolai Gennadiyevich Basov (14 Desemba 19221 Julai 2001) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza mionzi ya aina mbalimbali na kuvumbua leza. Mwaka wa 1964, pamoja na Aleksander Prokhorov na Charles Townes alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nikolai Basov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.