Guillermo Martín Abanto Guzmán

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Coat of arms of Guillermo Martin Abanto Guzman.svg

Guillermo Martín Abanto Guzmán (amezaliwa 1 Julai 1964) ni askofu msaidizi Mkatoliki nchini Peru. Aliwekwa wakfu na Kardinali Cipriani Thorne mwaka wa 2009. Tangu mwaka huo ni askofu msaidizi wa Dayosisi ya Lima na askofu wa Dayosisi ya Pinhel.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Guillermo Martín Abanto Guzmán kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.