Agnez Mo
Mandhari
| Agnez Mo | |
|---|---|
| Maelezo ya awali | |
| Jina la kuzaliwa | Agnes Monica Muljoto |
| Amezaliwa | 1 Julai 1986 |
| Asili yake | Jakarta, Indonesia |
| Aina ya muziki | Pop |
| Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki |
| Ala | Sauti |
| Aina ya sauti | Contralto |
| Miaka ya kazi | 1992–hadi leo |
| Studio | Aquarius Musikindo, Sony Music |
| Tovuti | www.agnezmo.com |
Agnes Monica Muljoto (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Agnez Mo; amezaliwa 1 Julai 1986) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za pop dansi kutoka nchini Indonesia.
Albamu
[hariri | hariri chanzo]- Agnes Is My Name (2011)
- Agnez Mo (2013)
