Jimbo Kuu la Kisumu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo kuu la Kisumu)
Jimbo Kuu la Kisumu (kwa Kilatini Archidioecesis Kisumuensis) ni jimbo kuu la kanda ya Kanisa Katoliki ya Kisumu nchini Kenya.
Chini yake kuna: majimbo ya Bungoma, Eldoret, Homa Bay, Kakamega, Kisii, Kitale na Lodwar.
Askofu mkuu ni Zacchaeus Okoth.
Uongozi
[hariri | hariri chanzo]- Maaskofu wakuu
- Gorgon Gregory Brandsma MHM, 1925–1935
- Nicolas Stam MHM, 1936–1948
- Frederick Hall MHM, 1948–1963
- Joannes de Reeper MHM, 1964–1976
- Philip Sulumeti, 1976–1978
- Zacchaeus Okoth, 1978–
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo la jimbo lina kilometa mraba 6,419, ambapo kati ya wakazi 2,061,628, Wakatoliki ni 431,120 (20.9%) katika parokia 33.