Jimbo Katoliki la Bungoma
Mandhari
Jimbo Katoliki la Bungoma ni mojawapo kati ya majimbo 28 ya Kanisa Katoliki nchini Kenya.
Liko chini ya jimbo kuu la Kisumu. Makao makuu yako Bungoma
Askofu ni Mark Kadima Wamukoya (tangu 14 Desemba 2021).
Eneo lake ni kilometa mraba 4,840, ambamo mwaka 2022 kati ya wakazi 1,659,902 Wakatoliki walikuwa 766,120 (46.2% ya wakazi wote), wakigawanyika katika parokia 43. Mapadri ni 81, wote wanajimbo. Watawa wa kiume ni 57 na wa kike ni 116.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Bungoma kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |