Jimbo Katoliki la Kisii
Mandhari
Jimbo Katoliki la Kisii ni mojawapo kati ya majimbo 28 ya Kanisa Katoliki nchini Kenya. Liko chini ya jimbo kuu la Kisumu.
Makao makuu yako mjini Kisii. Askofu ni Joseph Mairura Okemwa.
Eneo lake ni kilometa mraba 2,196, ambamo mwaka 2023 kati ya wakazi 2,846,525 Wakatoliki walikuwa 756,400 (26.6% ya wakazi wote), wakigawanyika katika parokia 32. Mapadri ni 71, wakiwemo wanajimbo 65 na wanashirika 6. Watawa wa kiume ni 18 na wa kike ni 265.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kisii kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |