Jimbo Kuu la Nyeri
Mandhari
Jimbo Kuu la Nyeri (kwa Kilatini: Archiodiocesis Nyeriensis) ni mojawapo kati ya majimbo 28 ya Kanisa Katoliki nchini Kenya.
Ni makao makuu ya kanda ya Kanisa ambayo inaundwa nalo na majimbo ya Embu, Isiolo, Maralal, Marsabit, Meru, Muranga na Nyahururu.
Mwaka 2023 kati ya wakazi 1,816,000, lilikuwa na waamini 619,900 (34.1%) waliogawanyika katika parokia 52.
Kwa sasa linaongozwa na askofu mkuu Anthony Muheria akiwa na makao mjini Nyeri.
Mapadri ni 196, wakiwemo wanajimbo 180 na wanashirika 16. Kwa wastani kila padri anahudumia waumini 3,162.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Nyeri kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |