Jimbo Katoliki la Embu
Mandhari
Jimbo Katoliki la Embu ni mojawapo kati ya majimbo 28 ya Kanisa Katoliki nchini Kenya.
Liko chini ya jimbo kuu la Nyeri.
Makao makuu yako mjini Embu. Askofu ni Peter Kimani Ndung'u.
Eneo lake ni kilometa mraba 2,714, ambamo mwaka 2023 kati ya wakazi 642,760 Wakatoliki walikuwa 336,530 (52.4% ya wakazi wote), wakigawanyika katika parokia 23. Mapadri ni 94, wakiwemo wanajimbo 84 na wanashirika 10. Watawa wa kiume ni 10 na wa kike ni 155.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Embu kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |