Nenda kwa yaliyomo

Jimbo Katoliki la Meru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Papa Leo XIV
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Jimbo Katoliki la Meru (kwa Kilatini: Dioecesis Meruensis) ni mojawapo kati ya majimbo 28 ya Kanisa Katoliki nchini Kenya[1]. Liko chini ya jimbo kuu la Nyeri. Makao makuu yako Meru. Wakatoliki ni 1,036,855 kati ya wakazi 3,336,685, hivyo ni asilimia 31.1. Kuanzia tarehe 1 Januari 2026 Askofu wake ni Jackson Murugara, IMC. Mapadri ni 187, wakiwemo wanajimbo 143 na wanashirika 44. Kwa wastani kila padri anahudumia waumini 5,544. Mbali nao, watawa wa kiume ni 71 na wale wa kike 369. Parokia ziko 80[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Introduction and Background of Meru Diocese Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2025 kwenye Wayback Machine.(Kiingereza)
  2. Deaneries Ilihifadhiwa 16 Novemba 2025 kwenye Wayback Machine.(Kiingereza)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Meru kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.