Jimbo Katoliki la Marsabit
Mandhari
Jimbo Katoliki la Marsabit ni mojawapo kati ya majimbo 28 ya Kanisa Katoliki nchini Kenya. Liko chini ya jimbo kuu la Nyeri.
Makao makuu yako mjini Marsabit. Askofu ni Peter Kyara Kariuki, I.M.C.
Eneo lake ni kilometa mraba 78,078, ambamo mwaka 2023 kati ya wakazi 471,740 Wakatoliki walikuwa 62,440 (13.2% ya wakazi wote), wakigawanyika katika parokia 17. Mapadri ni 37, wakiwemo wanajimbo 24 na wanashirika 13. Watawa wa kiume ni 17 na wa kike ni 39.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Marsabit kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |