Jimbo Kuu la Kinshasa
Mandhari
Jimbo Kuu la Kinshasa (kwa Kilatini Archidioecesis Kinshasana) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa lina majimbo ya Boma, Idiofa, Inongo, Kenge, Kikwit, Kisantu, Matadi na Popokabaka chini yake.
Askofu mkuu wake ni kardinali Fridolin Ambongo Besungu, O.F.M.Cap.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Uongozi
[hariri | hariri chanzo]Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 8,500, ambapo kati ya wakazi 11,323,000 (2016) Wakatoliki ni 6,378,000 (56.3%) katika parokia 143. Kwa hilo linaongoza duniani kote.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Kinshasa kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |