Jimbo Katoliki la Inongo
Jimbo Katoliki la Inongo (kwa Kilatini Dioecesis Inongoënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kinshasa.
Askofu wake ni Donatien Bafuidinsoni Maloko-Mana, S.J.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Uongozi[hariri | hariri chanzo]
Takwimu[hariri | hariri chanzo]
Eneo ni la kilometa mraba 100,000, ambapo kati ya wakazi 1,150,000 (2016) Wakatoliki ni 737,000 (64.1%) katika parokia 23.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Inongo kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |