Jimbo Katoliki la Kenge
Mandhari
Jimbo Katoliki la Kenge (kwa Kilatini Dioecesis Kengensis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kinshasa.
Askofu wake ni Jean-Pierre Kwambamba Masi.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Uongozi
[hariri | hariri chanzo]Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 34,385, ambapo kati ya wakazi 1,083,000 (2013) Wakatoliki ni 568,000 (52.4%) katika parokia 27.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kenge kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |