Emirates

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Emirates ni ndege kuu katika bara la arabu Middle East, iliyo chini ya kampuni ya The Emirates Group. Ni ndege ya kitaifa iliyo mjini Dubai, miliki za kiarabuUnited Arab Emirates na inahudumu takriban wasafiri 2200 kila wiki[1] kutoka kwa kituo chake cha Uwanja wa ndege wa kimataifa ya Dubai, Terminal 3 hadi nchi 55 na kwenye bara sita.[2] Emirates iko chini ya The Emirates Group, ambayo ina waajiriwa zaidi ya 40,000, na inayomilikiwa na serikali ya Dubai.

Ndege hii iko kwenye ndege kumi bora kulingana na mauzo, wasafiri na kilomita.[3]

Yaliyomo

[hariri] Historia

Ndege ya kwanza ya Emirates ilisafiri kutoka mji wa Dubai hadi Karachi mnamo Oktoba 25, 1985.[4]

Emirates ilianza kupata faida kuanzia baada ya miezi tisa. Mwaka wake wa kwanza, ilibeba wasafiri 260,000 na mizigi ya tani 10,000. Mnamo 1986, ndege hii iliongeza miji ya kusafiria kama Colombo, Dhaka, Amman, na Cairo miongoni mwa miji inayosafiria. Emirates ilianzisha ndege za kusafiri hadi London Gatwick kila siku mnamo Julai 6, 1987 kwa kutumia ndege mbili za Airbus A310. Pia, ilianzisha ndege za kuelekea mjini Singapore. Mnamo 1987, Ilianza kwenda Frankfurt kwa kupitia miji ya Istanbul, na Male.

[hariri] Maendeleo

Mauzo ya Emirates ziliongezeka kwa takriban milioni $100 kila mwaka, na kufikia milioni $500 mnamo 1993. Mwaka huu, ilibeba mizigo ya tani 68,000 na wasafiri milioni 1.6

Emirates ilikuwa na ndege tisa za aina ya A310 mnamo 1998

Emirates ilipata mauzo ya milioni $643.4 katika mwaka wa 1994. Ilikuwa na wafanyikazi 4,000.

[hariri] Terminal 3

Terminal 3 kwenye Uwanja wa ndege ya Dubai ilijengewa kwa matumizi ya Emirates pekee. Iligharimu bilioni $4.5 na ilifunguliwa rasmi mnamo Oktoba 14, 2008. Terminal hii inaweza kutosheleza masafiri milioni 27.

[hariri] Waajiriwa

Emirates imeajiri jumla ya watu 28,037 hadi mwaka wa 31 Machi 2009.[5]

[hariri] Mauzo na faida

Emirates Financial and Operational Performance[6]
Year Ended Passengers Flown Cargo carried (thousand) Turnover (AEDm) Expenditure (AEDm) Net Profit/Loss (AEDm)
31 March 1997 3,114.3 159.4 1,198.7 1,097.1 101.623
31 March 1998 3,683.4 200.1 4,089.1 3,826.7 262.413
31 March 1999 4,252.7 214.2 4,442.9 4,130.2 312.959
31 March 2000 4,775.4 269.9 5,113.8 4,812.9 300.900
31 March 2001 5,718.8 335.2 6,417.3 5,970.7 421.825
31 March 2002 6,765.1 400.6 7,274.6 6,783.7 468.231
31 March 2003 8,502.8 525.2 9,709.7 8,749.6 906.747
31 March 2004 10,441.3 659.8 13,286.3 11,602.1 1,573.511
31 March 2005 12,528.7 838.4 18,130.9 15,628.3 2,407.385
31 March 2006 14,497.5 1 ,018.5 23,050.9 20,489.6 2,474.97
31 March 2007 17,544.1 1,155.9 29,839.6 26,675.9 3,096.4
31 March 2008 21,229.2 1,282.1 40,196.6 35,121.7 5,020.4
31 March 2009 22,730.9 1,408.3 44,188.9 43,143.4 981.7

[hariri] Nembo

Kuanzia 2004, nembo ya Emirates ni Fly Emirates. Keep Discovering. Zingine zilizowahi kutumika ni kama:

  • The Finest in the Sky
  • Be Good to yourself. Fly Emirates
  • When was the last time you did something for the first time
  • Fly Emirates. Meet Dubai.
  • Fly Emirates. To over Six Continents.[7]

[hariri] Miji inayosafiria

Emirates inahudumu ndege 1,883 kila wiki, katika miji 103 kwenye nchi 65 kwenye bara 6 kutoka kwa kituo chake mjini Dubai.[8]

[hariri] Afrika

[hariri] Afrika Mashariki

[hariri] Afrika Kaskazini

[hariri] Afrika Kusini

[hariri] Afrika Magharibi

[hariri] Marekani

[hariri] Amerika ya Kaskazini

[hariri] Amerika ya Kusini

[hariri] Asia

[hariri] Asia ya Mashariki

[hariri] Asia ya Kusini

[hariri] Asia ya Kusini-Mashariki

[hariri] Asia ya Magharibi

[hariri] Ulaya

[hariri] Oceania

[hariri] Maupmziko

Ndege hii ina vyumba vya mapumziko kwenye uwanja wa ndege katika miji ifuatayo:

[hariri] Marejeo


Cite error: <ref> tags exist for a group named "note", but no corresponding <references group="note"/> tag was found

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine