Qatar : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 86: Mstari 86:
* {{en}} na {{ar}} [http://www.gov.qa/wps/portal/ Tovuti ya serikali]
* {{en}} na {{ar}} [http://www.gov.qa/wps/portal/ Tovuti ya serikali]
* {{CIA World Factbook link|qa|Qatar}}
* {{CIA World Factbook link|qa|Qatar}}
* {{GovPubs|qatar}}
* {{dmoz|Regional/Middle_East/Qatar}}
* {{dmoz|Regional/Middle_East/Qatar}}
* [http://www.bbc.co.uk/news/world-middle-east-14702226 Qatar] from the [[BBC News]].
* [http://www.bbc.co.uk/news/world-middle-east-14702226 Qatar] from the [[BBC News]].
Mstari 100: Mstari 99:
[[Jamii:Nchi za Asia]]
[[Jamii:Nchi za Asia]]
[[Jamii:Nchi za Kiarabu]]
[[Jamii:Nchi za Kiarabu]]
[[Jamii:Mashariki ya Kati]]

Pitio la 13:16, 7 Machi 2016

Qatar

Qatar (kwa Kiarabu: قطر ) ni emirati ndogo wa Uarabuni kwenye rasi ya Qatar ambayo ni sehemu ya rasi kubwa ya Uarabuni.

Imepakana na Saudia upande wa kusini. Mipaka mingine ni ya Ghuba ya Uajemi. Kisiwa cha Bahrain kiko karibu.

Mji mkuu wa Qatar ni Doha.

Siasa

Miaka ya mwisho Qatar imejihusisha na siasa ya Mashariki ya Kati kwa kuwapa silaha Waislamu wenye itikadi kali kama vile huko Palestina, Syria na Iraq.

Watu

Wananchi wengi wa Qatar kwa asili ni Waarabu na Waafrika (utumwa nchini ulichelewa sana kufutwa). Lakini kati ya wakazi wote, hao ni asilimia 15 tu (278,000), yaani idadi kubwa sana si Waqatari wenyewe bali ni wafanyakazi kutoka nchi mbalimbali, hasa India (zaidi ya 25%) na nchi za kandokando yake.

Kiarabu ni lugha rasmi ya nchi lakini Kiingereza hutumiwa mara nyingi kwa mawasiliano ya biashara na ofisini.

Waqatari wenyewe ni Waislamu (hasa Wasuni) lakini watu kutoka nje hufuata pia dini mbalimbali: hivyo kati ya wakazi wote 13.8% ni Wakristo na 13.8% tena ni Wahindu.

Uchumi

Uchumi wote wa Qatar una msingi wa mafuta ya petroli na gesi yake.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Qatar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.