Tofauti kati ya marekesbisho "Sifa nne za Kanisa"

Jump to navigation Jump to search
160 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sifa nne za Kanisa''', ambazo zinalitambulisha Kanisa la kweli kati ya makundi mengi ya Ukristo ni kuwa moja, takatifu, Katoliki, la Mitume wa ...')
 
{{Ukristo}}
'''Sifa nne za Kanisa''', kadiri ya [[imani]] ya [[madhehebu]] mengi ya [[Ukristo]], ni zile ambazo zinalitambulisha [[Kanisa]] la kweli kati ya makundi mengi ya [[Ukristo]] ni kuwa [[moja]], [[utakatifu|takatifu]], [[Katoliki]], la [[Mitume wa Yesu|Mitume]].
 
Sifa hizo zilitajwa na [[Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli]] ([[381]]) uliporefusha [[Kanuni ya Imani]] iliyotungwa na [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]] ([[325]]).
 
Ndiyo sababu zinakubaliwa na [[madhehebu]] mengi, ingawa zinatafsiriwa nayo kwa namna tofautitofauti.
 
==Tazama pia==
*[[Kanuni ya imani ya Nisea-Konstantinopoli]]
 
== Marejeo ==

Urambazaji