Ruaha Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
⚫ | |||
'''Ruaha Mkuu''' (pia: '''Ruaha Mkubwa''') ni [[mto]] muhimu nchini [[Tanzania]] na [[tawimto]] wa [[Rufiji (mto)|Rufiji]]. Huitwa "Ruaha Mkuu" kwa kuutofautisha na "Ruaha Mdogo" unaoishia ndani yake, si mbali na [[Iringa Mjini]]. |
'''Ruaha Mkuu''' (pia: '''Ruaha Mkubwa''') ni [[mto]] muhimu nchini [[Tanzania]] na [[tawimto]] wa [[Rufiji (mto)|Rufiji]]. Huitwa "Ruaha Mkuu" kwa kuutofautisha na "Ruaha Mdogo" unaoishia ndani yake, si mbali na [[Iringa Mjini]]. [[Jina]] Ruaha kwa [[Kihehe]] linamaanisha "maji mengi". |
||
⚫ | |||
==Chanzo na mwendo wa mto== |
==Chanzo na mwendo wa mto== |
||
Mstari 7: | Mstari 7: | ||
Karibu na [[Ng’iriama]] mto unatoka katika Usangu na kuingia [[Hifadhi ya Ruaha|hifadhi ya kitaifa ya Ruaha]]. Inaendelea kupokea Ruaha Mdogo na [[mto Kisigo]] kabla ya kuingia katika [[ziwa]] la [[lambo la Mtera]], halafu inaendelea hadi ziwa la [[lambo]] la [[Kidatu]]. |
Karibu na [[Ng’iriama]] mto unatoka katika Usangu na kuingia [[Hifadhi ya Ruaha|hifadhi ya kitaifa ya Ruaha]]. Inaendelea kupokea Ruaha Mdogo na [[mto Kisigo]] kabla ya kuingia katika [[ziwa]] la [[lambo la Mtera]], halafu inaendelea hadi ziwa la [[lambo]] la [[Kidatu]]. |
||
Baada ya Kidatu, Ruaha Mkuu unapita tambarare ya [[Kilombero]] hadi kuishia katika mto Rufiji. |
Baada ya Kidatu, Ruaha Mkuu unapita [[tambarare]] ya [[Kilombero]] hadi kuishia katika mto Rufiji. |
||
==Matatizo ya ekolojia ya mto== |
==Matatizo ya ekolojia ya mto== |
||
Maji ya Ruaha Mkuu ni muhimu kwa [[ekolojia]] ya beseni yake pamoja na watu wote wanaoishi huko. Lakini matumizi ya [[binadamu]] yameleta mvurugo kwa ekolojia ya mto na tangu mwaka [[1993]] mto umeanza kukauka wakati wa [[ukame]]. Uhaba wa maji umesababishwa na matumizi mabaya ya maji upande wa miradi mikubwa ya [[mpunga]] katika Usangu. |
Maji ya Ruaha Mkuu ni muhimu kwa [[ekolojia]] ya [[beseni]] yake pamoja na [[watu]] wote wanaoishi huko. Lakini matumizi ya [[binadamu]] yameleta mvurugo kwa ekolojia ya mto na tangu mwaka [[1993]] mto umeanza kukauka wakati wa [[ukame]]. Uhaba wa maji umesababishwa na matumizi mabaya ya maji upande wa miradi mikubwa ya [[mpunga]] katika Usangu. |
||
==Viungo vya nje== |
==Viungo vya nje== |
||
Mstari 16: | Mstari 16: | ||
{{Mito ya Tanzania}} |
{{Mito ya Tanzania}} |
||
{{mbegu-jio-TZ}} |
|||
[[Jamii:Mito ya Tanzania]] |
[[Jamii:Mito ya Tanzania]] |
||
[[Jamii:Mkoa wa Mbeya]] |
|||
[[Jamii:Mkoa wa Iringa]] |
|||
[[Jamii:Mkoa wa Morogoro]] |
|||
[[Jamii:Mkoa wa Pwani]] |
Pitio la 13:14, 15 Agosti 2017
Ruaha Mkuu (pia: Ruaha Mkubwa) ni mto muhimu nchini Tanzania na tawimto wa Rufiji. Huitwa "Ruaha Mkuu" kwa kuutofautisha na "Ruaha Mdogo" unaoishia ndani yake, si mbali na Iringa Mjini. Jina Ruaha kwa Kihehe linamaanisha "maji mengi".
Chanzo na mwendo wa mto
Chanzo chake ni mito mingi midogo inayotelemka milima ya nyanda za juu za kusini mwa Tanzania, hasa safu za milima ya Uporoto na Kipengere. Mito hii inakusanya maji yake kwenye tambarare ya Usangu na ndipo Ruaha inapoanza. Mito mikubwa zaidi inayoungana hapa na kuunda Ruaha ni pamoja na mto Mbarali, mto Kimani na mto Chimala.
Karibu na Ng’iriama mto unatoka katika Usangu na kuingia hifadhi ya kitaifa ya Ruaha. Inaendelea kupokea Ruaha Mdogo na mto Kisigo kabla ya kuingia katika ziwa la lambo la Mtera, halafu inaendelea hadi ziwa la lambo la Kidatu.
Baada ya Kidatu, Ruaha Mkuu unapita tambarare ya Kilombero hadi kuishia katika mto Rufiji.
Matatizo ya ekolojia ya mto
Maji ya Ruaha Mkuu ni muhimu kwa ekolojia ya beseni yake pamoja na watu wote wanaoishi huko. Lakini matumizi ya binadamu yameleta mvurugo kwa ekolojia ya mto na tangu mwaka 1993 mto umeanza kukauka wakati wa ukame. Uhaba wa maji umesababishwa na matumizi mabaya ya maji upande wa miradi mikubwa ya mpunga katika Usangu.
Viungo vya nje
- Ecohydrology of Great Ruaha River: www.iwmi.cgiar.org/Africa/files/RIPARWIN/05/_downloads/Fact-Factsheet_EcoHyd_GRR.doc
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ruaha Mkuu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |