Kanisa Katoliki la Kisiria la Malankara
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kanisa Katoliki la Kimalankara)
Kanisa Katoliki la Kisiria la Malankara (kwa Kimalayalam: മലങ്കര സുറിയാനി കത്തോലിക്കാ സഭ) ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote.
Linafuata mapokeo ya Antiokia na kutumia liturujia ya Antiokia, lakini linapatikana hasa India kusini na katika nchi walipohamia watu wa eneo hilo, kama vile Uarabuni, Uingereza, Marekani.
Kwa jumla lina waamini 450,000 hivi, kutokana na 5 tu wa kwanza waliojiunga rasmi na Kanisa Katoliki tarehe 30 Septemba 1930 chini ya askofu mkuu Mar Ivanios Geevarghese, wengine wakiwa Askofu Jacob Mar Theophilos, padri John Kuzhinapurath OIC, shemasi Alexander OIC, na mlei Chacko Kilileth.
Majimbo ni 11 nchini India na 1 Marekani, na mapadri ni 639.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Syro-Malankara Catholic Church Tovuti rasmi
- Eparchy of Pathanamthitta
- Syro-Malankara Catholic Church sui iuris
- Syro-Malankara Catholic Church – alternative site built by Malankarites Archived 25 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- Article on the Syro-Malankara Catholic Church by Ronald Roberson on the CNEWA website. Archived 10 Julai 2009 at the Wayback Machine.
- Hati Orientalium Ecclesiarum ya Mtaguso wa pili wa Vatikano
- Hati Orientales omnes Ecclesias ya Papa Pius XII
- [1] Archived 5 Machi 2012 at the Wayback Machine. - Hati ya Papa Yohane Paulo II Orientale Lumen kuhusu Makanisa ya Mashariki
- Codex Canonum Ecclesiarum Orientalium - Mkusanyo wa Sheria za Makanisa ya Mashariki (katika Kilatini pamoja na sehemu sambamba)
- Instruction for Applying the Liturgical Prescriptions of the Code of Canons of the Eastern Churches Archived 25 Aprili 2009 at the Wayback Machine. - Hati ya Idara ya Papa kwa Makanisa ya Mashariki kuhusu liturujia
- Ujuzi wa msingi kuhusu Makanisa hayo Archived 17 Mei 2011 at the Wayback Machine.
- CNEWA Idara ya Papa inayosaidia Makanisa hayo Archived 9 Machi 2009 at the Wayback Machine.
- Sura ya Idara ya Papa kwa Makanisa hayo
- Takwimu za Makanisa hayo Archived 27 Juni 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanisa Katoliki la Kisiria la Malankara kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |