4 Julai
Mandhari
(Elekezwa kutoka Julai 4)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Julai ni siku ya 185 ya mwaka (ya 186 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 180.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1415 - Papa Gregori XII anajiuzulu ili kumaliza farakano la Kanisa la magharibi
- 1776 - Marekani inatangaza uhuru wake kutoka Uingereza
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1872 - Calvin Coolidge, Rais wa Marekani (1923-1929)
- 1915 - Susanne Wenger, msanii kutoka Austria na kuhani wa Wayoruba nchini Nigeria
- 1974 - Mick Wingert, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 966 - Papa Benedikto V
- 1336 - Mtakatifu Elizabeti wa Ureno, malkia Mfransisko kutoka Hispania
- 1826 - John Adams, Rais wa Marekani (1797-1801)
- 1826 - Thomas Jefferson, Rais wa Marekani (1801-1809)
- 1831 - James Monroe, Rais wa Marekani (1817-1825)
- 1891 - Hannibal Hamlin, Kaimu Rais wa Marekani (1861-1865)
- 1900 - Mtakatifu Sesidi Giacomantonio, padri Mfransisko kutoka Italia, mmisionari na mfiadini nchini China
- 2001 - Omar Ali Juma, mwanasiasa kutoka Zanzibar
- 2006 - Lars Korvald, mwanasiasa kutoka Norwei
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Elizabeti wa Ureno, Jokondiani, Lauriano wa Vatan, Florensi wa Cahors, Valentino wa Langres, Berta wa Blangy, Andrea wa Krete, Ulderiki wa Augsburg, Antoni Daniel, Sesidio Giacomantonio n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |