Jimbo Kuu la Bukavu
Mandhari
Jimbo Kuu la Bukavu (kwa Kilatini Archidioecesis Bukavuensis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa lina majimbo ya Butembo-Beni, Goma, Kasongo, Kindu na Uvira chini yake.
Askofu mkuu wake ni Francois-Xavier Maroy Rusengo.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Uongozi
[hariri | hariri chanzo]Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 8,815, ambapo kati ya wakazi 2,607,000 (2015) Wakatoliki ni 1,037,065 (39.8%) katika parokia 39.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Bukavu kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |