Jimbo Katoliki la Malakal
Mandhari
Jimbo la Malakal (kwa Kilatini Dioecesis Malakalensis) ni mojawapo kati ya majimbo 7 ya Kanisa Katoliki nchini Sudan Kusini na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Yote yanaunda kanda ya Kanisa yenye makao makuu katika Jimbo Kuu la Juba.
Askofu wake wa mwisho (hadi 2009) alikuwa Vincent Mojwok Nyiker, lakini kwa sasa hakuna mwingine.
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo la jimbo lina kilometa mraba 238,000, ambapo kati ya wakazi 4,562,000 (2013) Wakatoliki ni 898,000 (sawa na 19.7%). Parokia ziko 16, mapadri ni 22 na watawa 27,