Jimbo Katoliki la Kayanga
Mandhari
Jimbo Katoliki la Kayanga (kwa Kilatini "Dioecesis Kayangana") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Mwanza.
Askofu wake wa kwanza ni Almachius Vincent Rweyongeza.
Historia
[hariri | hariri chanzo]- 1929: Kuanzishwa kwa Apostolic Vicariate ya Rulenge-Ngara kutokana na Apostolic Vicariate ya Tabora
- 25 Machi 1953: Rulenge kufanywa dayosisi
- 14 Agosti 2008: Kumegwa dayosisi ya Rulenge na kuanzishwa jimbo jipya la Kayanga
Uongozi
[hariri | hariri chanzo]- Askofu Almachius Vincent Rweyongeza (tangu mwanzo).
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 13,004, ambapo kati ya wakazi 438,093 (2008) Wakatoliki ni 280,000 (63.9%).
Mapadri ni 25, hivyo kwa wastani kila mmojawao anahudumia waamini 11,200 katika parokia 11.
Masista ni 45.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Catholic Hierarchy
- Giga Catholic
- Hati Congregatio pro Gentium, AAS 100 (2008), uk. 597
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kayanga kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |