Wanyambo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wanyambo ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Kagera, Wilaya ya Karagwe. Lugha yao ni Kinyambo. wanyambo pia nikabila ambalo lina utamadun tofaut na makabila mengine katika mkoa wa kagera tofauti zao kitamaduni -mavazi yaliyotumika kitamadunu yalifahamika kama (embugu)zilitokana na magome ya miti iitwayo kwa kinyambo "emitoma"
| Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wanyambo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hiyo kuhusu "Wanyambo" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Tazama anuani hii: "mugishagwe.blogspot.com/2011/01/lijue-kabila-la-wanyambo.html"