Wilaya ya Biharamulo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Biharamulo (kijani) katika mkoa wa Kagera.
Wilaya ya Biharamulo ni wilaya moja ya Mkoa wa Kagera. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 410,794 [1].
Marejeo [hariri]
| Kata za Wilaya ya Biharamulo - Mkoa wa Kagera - Tanzania Kata zifuatazo bado ni pamoja na zile za wilaya mpya ya Chato. Ukijua ni kata zipi zilizopelekwa Chato saidia kuhariri kigezo hiki kwa kubonyeza hapa |
||
|---|---|---|
|
Biharamulo Mjini | Bukome | Buseresere | Buziku | Bwanga | Bwera | Chato | Ichwankima | Ilemela (Biharamulo) | Kachwamba | Kalenge | Katende | Kigongo | Lusahunga | Makurugusi | Muganza (Biharamulo) | Nyabusozi | Nyakahura | Nyamigogo | Nyamirembe | Nyarubungo | Runazi |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Biharamulo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |