Sinodi ya maaskofu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Sinodi ya Maaskofu)
Sinodi ya maaskofu (kwa Kiingereza: Synod of Bishops) katika Kanisa Katoliki leo ni mkutano maalumu unaofanyika mara kwa mara ili kumshauri Papa kwa niaba ya maaskofu wote duniani. [1][2]
Sinodi hiyo ina sekretarieti ya kudumu mjini Roma.
Papa Fransisko ameendelea sera za watangulizi wake wa kuongeza mamlaka na athari ya sinodi hiyo katika Kanisa lote.[3] Kuanzia mwaka 2023 waumini kadhaa wasio maaskofu wala mapadri pia watakuwa na haki ya kupiga kura.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kanuni 342 ya Sheria za Kanisa (CIC) inaifafanua hivi: "a group of bishops who have been chosen from different regions of the world and meet together at fixed times to foster closer unity between the Roman Pontiff and bishops, to assist the Roman Pontiff with their counsel in the preservation and growth of faith and morals and in the observance and strengthening of ecclesiastical discipline, and to consider questions pertaining to the activity of the Church in the world."
- ↑ "Summary of the synod assemblies", Synodal Information, Vatican City: General Secretariat of the Synod of Bishops, 15 Septemba 2007
{{citation}}
: CS1 maint: date auto-translated (link). - ↑ http://www.ncregister.com/blog/edward-pentin/pope-francis-boosts-authority-of-the-synod-of-bishops
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Code of Canon Law (CIC), Rome: Libreria Editrice Vaticana, 4 Novemba 2003 [1983]
{{citation}}
: CS1 maint: date auto-translated (link). - Papa Paulo VI (15 Septemba 1965), hati Apostolica sollicitudo: [1]
- Okoye, James Chukwuma (2011). Scripture in the Church: The Synod on the Word of God and the Post-Synodal Exhortation Verbum Domini. Liturgical Press. ISBN 978-0-8146-8026-1.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help)
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sinodi ya maaskofu kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |