Siku ya kimataifa ya vijana
Mandhari
Siku ya kimataifa ya vijana (kwa Kiingereza: World Youth Day; kifupi: WYD) ni tukio linaloandaliwa na Kanisa Katoliki kwa ajili ya rika hilo. Kila mwaka siku ya vijana inaadhimishwa ama katika majimbo tu kwenye Jumapili ya matawi, ama kimataifa katika mji fulani.
Mpango huo ulianzishwa na Papa Yohane Paulo II mwaka 1985 kwa kufuata mang'amuzi yake nchini Polandi [1] ukaendelezwa na waandamizi wake, Papa Benedikto XVI [2] na Papa Fransisko.
Misa ya kumalizia adhimisho hilo mjini Manila, Ufilipino, mwaka 1995 ilihudhuriwa na watu milioni 5.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Its concept has been influenced by the Light-Life Movement that has existed in Poland since the 1960s, where during summer camps Catholic young adults over 13 days of camp celebrated a "day of community".
- ↑ nsymmonds (22 Desemba 2008). "Statements of Benedict XVI". Blog.beliefnet.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-28. Iliwekwa mnamo 5 Desemba 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Yago de la Cierva, Communication on Church Events. The making of WYD Madrid 2011, Edusc, 2014.
- Juan Narbona, Daniel Arasa, Mass religious events as opportunities for tourism promotion. An analysis of users’ visits to the website of World Youth Day 2016 in Krakow, in Church, Communication and Culture 3 (2018), pp. 379-388.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Official World Youth Day website
- Vatican World Youth Day website
- WYD Lisbon 2022
- WYD Sydney 2008 Ilihifadhiwa 24 Machi 2019 kwenye Wayback Machine.
- WYD Kraków 2016
- WYD Panama 2019 Ilihifadhiwa 28 Januari 2019 kwenye Wayback Machine.
- WYD page from United States Conference of Catholic Bishops Ilihifadhiwa 12 Aprili 2019 kwenye Wayback Machine.
- World Youth Day Photo Slideshows, Themesongs and Small Movie (English/Dutch/German)
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Siku ya kimataifa ya vijana kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |