7 Novemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Novemba 7)
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Novemba ni siku ya 311 ya mwaka (ya 312 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 54.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1872 - Leonora Speyer, mshairi wa kike kutoka Marekani
- 1888 - Chandrasekhara Raman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1930
- 1903 - Konrad Lorenz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973
- 1913 - Albert Camus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1957
- 1929 - Eric Kandel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2000
- 1964 - Corrado Sanguineti, askofu Mkatoliki nchini Italia
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 644 - Umar ibn al-Khattab, khalifa wa pili wa Uislamu auawa na mtumwa Mwajemi mjini Madina
- 1964 - Hans von Euler-Chelpin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1929
- 1967 - John Garner, Kaimu Rais wa Marekani
- 1980 - Steve McQueen, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2005 - John Patrick, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Prosdosimi, Atenodori, Amaranti, Geroni na wenzake, Erkolano wa Perugia, Baldo wa Tours, Kungari, Florensi wa Strasbourg, Wilibrodi, Lazaro wa Mnarani, Engelbert wa Cologne, Yasinto Castenyeda, Vinsenti Liem Pham Hieu, Petro Wu Guosheng, Vinsenti Grossi n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |