5 Novemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Novemba 5)
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Novemba ni siku ya 309 ya mwaka (ya 310 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 56.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1715 - Mtakatifu Felix wa Nicosia, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Sicilia (Italia)
- 1837 - Mtakatifu Arnold Janssen, padre Mkatoliki kutoka Ujerumani
- 1854 - Paul Sabatier, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1912
- 1943 - Sam Shepard, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1979
- 1948 - William Phillips, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1997
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1930 - Christiaan Eijkman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1929
- 1944 - Alexis Carrel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1912
- 1975 - Edward Tatum, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958
- 2000 - Bibi Titi Mohammed, mwanasiasa wa Tanzania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Donini wa Kaisarea, Theotimo, Filotheo na wenzao, Marko wa Troia, Fibisi wa Trier, Gwetnoko, Bertila wa Chelles, Jeradi wa Beziers, Dominiko Mau, Gwido Maria Conforti n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |