Nenda kwa yaliyomo

Gwetnoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya mama yake akiwa na wanae.

Gwetnoko (pia: Guéthenoc, Guethnoc, Gueznec, Wethenoc, Wethnoc, Guethenoc, Guéthnec, Guézennec, Gwezheneg, Guéhénec, Guéhenneuc, Guennec, Guinou, Guinnous, Guithénoc, Guéhenocus, Guénoc, Guéneuc, Guinau, Venec, Vennec, Vinec, Veneuc, Venoc, Wihenoc, Wéthénoc, Ethinoc, Ithinouc, Hinec, Izinieux, Ithizieux, Gueveneux[1][2]; Welisi au Cornwall, Uingereza, 455 hivi - Bretagne, Ufaransa, karne ya 6) alikuwa mmonaki aliyelelewa na Budoc wa Dol nchini Ufaransa [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu kama pacha wake Jakuto, mdogo wao Vinvaleo na wazazi wao, Fragan na Gwen.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Novemba[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Fiche signalétique du saint sur le site Historial du Grand Terrier". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-28. Iliwekwa mnamo 2024-10-14.
  2. Historial du Grand Terrier
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/76225
  4. Martyrologium Romanum

(en) Peter Bartrum, A Welsh classical dictionary: people in history and legend up to about A.D. 1000, Aberystwyth, National Library of Wales, 1993 (ISBN 9780907158738), p. 734 Wethnoc or Guethenoc, St. (475)

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.