Jeradi wa Beziers
Mandhari
Jeradi wa Beziers, C.R.S.A. (kwa Kifaransa: Guiraud; Puissalicon, Ufaransa, 1070 - Beziers, Ufaransa, 5 Novemba 1123) alikuwa kanoni, halafu priori, wa Waaugustino huko Cassan[1] .
Mwenye uadilifu na unyofu mkubwa, mwaka 1121 alichaguliwa kuwa askofu wa Beziers[2] ingawa hakupenda, akazidi kufuata unyenyekevu katika cheo hicho kikubwa hadi kifo chake [3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu[4].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Novemba[5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "CHATEAU-ABBAYE DE CASSAN Monument historique Histoire et patrimoine du Languedoc Roussillon". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-09. Iliwekwa mnamo 2024-10-14.
- ↑ Étienne Sabatier, Histoire de la ville et des évêques de Beziers (1854), p. 192.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/76235
- ↑ http://pagesperso-orange.fr/ansart/Sanctoral/Annee/1105.htm, in French, under Saint Geraud, celebrated November 5.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |