Nenda kwa yaliyomo

Bertila wa Chelles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Bertila.

Bertila wa Chelles (pia: Bertilla, Bertille, Berthild; Soissons, leo nchini Ufaransa, 629/639 - Chelles, Ufaransa, 692) alikuwa bikira wa familia ya kikabaila ambaye alijiunga na monasteri ya Jouarre alipolelewa na Theodeilde[1].

Malkia Batilde alipoanzisha nyingine huko Bertila alitumwa kuwa abesi wake ingawa alikuwa na umri mdogo tu akaongoza kadiri ya kanuni ya Kolumbani kwa miaka 46 [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Novemba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. In his seminal work, The Lives of Saints, Alban Butler describes the life of St. Bertille based upon a biography written shortly after her death in Mabillon, Act. Ben. t. 3. p. 21; Du Plessis, Hist. de Meaux, l. 1, n. 47, 48, 50.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/76230
  3. Martyrologium Romanum
  • Butler, Alban (1866). The Lives of the Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints. Compiled from Original Monuments and Authentic Records by the Rev. Alban Butler, in twelve volumes. Dublin: James Duffy. Iliwekwa mnamo 6 Februari 2013.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.