20 Julai
Mandhari
(Elekezwa kutoka Julai 20)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 20 Julai ni siku ya 201 ya mwaka (ya 202 katika miaka mirefu). Mpaka mwaka uishe zinabaki siku 164.
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1969 - Wanaanga Neil Armstrong na Buzz Aldrin ni watu wa kwanza kufika kwenye uso wa mwezi
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1519 - Papa Innocent IX
- 1864 - Erik Axel Karlfeldt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1931
- 1890 - Verna Felton, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1897 - Tadeus Reichstein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950
- 1919 - Edmund Hillary, mpelelezi kutoka New Zealand
- 1925 - Frantz Fanon, mwandishi wa Kifaransa kutoka Martinique
- 1933- Cormac McCarthy, mwandishi kutoka Marekani
- 1947 - Gerd Binnig, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1986
- 1955 - Egidio Miragoli, askofu Mkatoliki nchini Italia
- 1958 - Billy Mays, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1962 - Carlos Alazraqui, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1968 - Kool G Rap, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1156 - Toba, mfalme mkuu wa Japani (1107-1123)
- 1903 - Papa Leo XIII
- 1937 - Guglielmo Marconi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1909
- 1973 - Bruce Lee, mtaalamu wa Kung Fu na mwigizaji filamu kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Apolinari wa Ravenna, Elia, Yosefu Barsaba, Marina wa Antiokia, Frumensi, Aurelius wa Karthago, Vulmari, Paulo wa Cordoba, Magdalena Yi Yong-hui na wenzake, Yosefu Maria Díaz Sanjurjo, Leo Ignas Mangin na wenzake, Petro Zhou Rixin, Maria Fu Guilin, Maria Zhao Guozhi na wanae, Xi Guizi n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |