12 Julai
Mandhari
(Elekezwa kutoka Julai 12)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 12 Julai ni siku ya 193 ya mwaka (ya 194 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 172.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1276 - Uchaguzi wa Papa Adrian V
- 1691 - Uchaguzi wa Papa Innocent XII
- 1730 - Uchaguzi wa Papa Klementi XII
- 1975 - Visiwa vya Sao Tome na Principe vinapata uhuru kutoka Ureno
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1803 - Mtakatifu Peter Chanel, padre Mkatoliki na mfiadini kutoka Ufaransa
- 1904 - Pablo Neruda, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1971
- 1912 - Kardinali Laurean Rugambwa, askofu mkuu wa Dar es Salaam nchini Tanzania
- 1913 - Willis Lamb, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1955
- 1928 - Elias Corey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1990
- 1935 - Satoshi Omura, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2015
- 1948 - Richard Simmons, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1956 - Wilson Mutagaywa Masilingi, mwanasiasa wa Tanzania
- 1967 - Adam Johnson, mwandishi kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1073 - Mtakatifu Yohane Gualberto, abati nchini Italia
- 1598 - Mtakatifu John Jones, O.F.M., padri mfiadini kutoka Wales
- 1931 - Nathan Söderblom, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1930
- 1992 - Caroline Pafford Miller, mwandishi kutoka Marekani
- 2013 - Pran, mwigizaji wa filamu kutoka Uhindi
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Proklo na Hilarioni, Fortunati na Ermagora, Nabore, Feliche Mwafrika, Paterniani wa Fano, Vivensioli, Yohane Gualberto, Leo I wa Cava, Yohane Jones, Klemens Ignas Delgado, Agnes Le Thi Thanh, Petro Khanh, Alois na Maria Azelia Martin n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 12 Machi 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 12 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |