Jimbo Katoliki la Kondoa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Jimbo Katoliki la Kondoa (kwa Kilatini "Dioecesis Kondoaënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania, katika mkoa wa Dodoma, hususan wilaya ya Kondoa.

Kama majimbo hayo yote, linafuata mapokeo ya Kilatini ya Kanisa la Roma.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hilo liliundwa rasmi tarehe 12 Machi 2011 kutokana na Jimbo Katoliki la Dodoma kupewa kama askofu wake wa kwanza Bernardine Mfumbusa.

Linahusiana na jimbo kuu la Dodoma.

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

Waamini wake ni 46.067 kati ya wakazi 541.345 (sawa na 8.5%) wa eneo lake la kilometa mraba 13,210, ambao wengi wao ni Waislamu.

Jimbo lina mapadri 17, ambao kati yao 15 ni wanajimbo na 2 tu ni watawa. Hivyo kwa wastani kila padri anahudumia Wakatoliki 2.710 katika parokia 9.

Jimbo lina masista 87.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kondoa kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.