Jimbo Katoliki la Kalemie-Kirungu
Jimbo Katoliki la Kalemie-Kirungu (kwa Kilatini Dioecesis Kalemiensis-Kirunguensis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Lubumbashi.
Askofu wake ni Christophe Amade, M.Afr.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Uongozi[hariri | hariri chanzo]
Takwimu[hariri | hariri chanzo]
Eneo ni la kilometa mraba 71,577, ambapo kati ya wakazi 1,185,000 (2013) Wakatoliki ni 677,000 (57.1%) katika parokia 19.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kalemie-Kirungu kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |