27 Januari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Januari 27)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 27 Januari ni siku ya ishirini na saba ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 338 (339 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 98 - Trajanus anakuwa Kaisari wa Dola la Roma ambalo chini yake litafikia kilele cha uenezi wake
- 1695 - Mustafa II anachukua nafasi ya Sultani wa Milki ya Osmani badala ya Ahmad II aliyefariki
- 1945 - ukombozi wa Kambi ya Auschwitz na askari wa Jeshi Jekundu
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1756 - Wolfgang Amadeus Mozart, mtunzi wa muziki Mwaustria
- 1903 - John Eccles, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 1936 - Samuel Ting, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1976
- 1960 - Samia Suluhu Hassan, rais wa Tanzania (tangu 2021)
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 98 - Nerva, Kaisari wa Dola la Roma (tangu 96)
- 672 - Papa Vitalian
- 1540 - Mtakatifu Angela Merichi, bikira Mfransisko wa Italia
- 1887 - Mtakatifu Yohane Maria Muzei, mfiadini kutoka Tanzania ya leo
- 1901 - Giuseppe Verdi, mtunzi wa opera kutoka Italia
- 2009 - John Updike, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Anjela Merici, Juliani wa Sora, Juliani wa Le Mans, Devota wa Biguglia, Mario wa Bodon, Papa Vitaliani, Theodoriko wa Orleans, Gilduino, Yohane Maria Muzei, Enriko wa Osso, Maria wa Yesu Santocanale n.k.
- Kumbukizi ya Kimataifa ya Maangamizi ya Wayahudi, kufuatana na azimio la Mkutano Mkuu wa UM la mwaka 2005
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 27 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |