Samuel Ting

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samuel Ting

Samuel Chad Chung Ting (amezaliwa 27 Januari 1936) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uchina. Alipokuwa na umri wa miaka 20 alihamia Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1976, pamoja na Burton Richter alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samuel Ting kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.