Nenda kwa yaliyomo

Burton Richter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Burton Richter

Burton Richter (amezaliwa 22 Machi 1931) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1976, pamoja na Samuel Ting alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Burton Richter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.