10 Januari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Januari 10)
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 10 Januari ni siku ya kumi ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 355 (356 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 49 KK - Julius Caesar anavuka mto Rubicone na hivyo kuanzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe katika dola la Roma
- 1920 - Shirikisho la Mataifa linaanza kazi
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1916 - Sune Bergström, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982
- 1924 - Max Roach, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1928 - Philip Levine, mshairi kutoka Marekani
- 1936 - Robert Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978
- 1966 - Hawa Ghasia, mwanasiasa wa Tanzania na Waziri wa Huduma za Umma (2005-2010)
- 1971 - Theuns Jordaan, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 681 - Mtakatifu Papa Agatho
- 1276 - Mwenye heri Papa Gregori X
- 1778 - Carl Linnaeus, mwanabiolojia kutoka Uswidi
- 1950 - Ernest Poole, mwandishi kutoka Marekani
- 1951 - Sinclair Lewis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1930
- 1957 - Gabriela Mistral, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1945
- 1986 - Jaroslav Seifert, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1984
- 1997 - Alexander Todd, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1957
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Miltiades, Paulo wa Tebe, Gregori wa Nisa, Yohane II wa Yerusalemu, Petronio wa Die, Machano wa Konstantinopoli, Valeri wa Limoges, Domisyano wa Melitene, Papa Agatho, Arkonsi wa Viviers, Petro Orseolo, Wiliamu wa Bourges, Fransiska wa Sales Aviat n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 10 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |