Theuns Jordaan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Theuns Jordaan

Theuns Jordaan (Rasi ya Mashariki, Afrika Kusini, 10 Januari 1971 - 17 Novemba 2021) alikuwa mwimbaji, mpigaji gitaa na mtunzi wa muziki. Alikuwa mshindi wa tuzo nyinginyingi za muziki-Platini CD kama msanii bora.

Albamu[hariri | hariri chanzo]

  • Vreemde stad (1999)
  • Tjailatyd (2002)
  • Seisoen (2005)
  • Grootste Treffers (2007)
  • Bring Jou Hart - met Juanita Du Plessis (2008)
  • Driekuns (2009)
  • Kouevuur - Die musiek van Koos Du Plessis(2009)


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theuns Jordaan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.