Jaroslav Seifert

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jaroslav Seifert

Jaroslav Seifert (23 Septemba 190110 Januari 1986) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Ucheki. Mwaka wa 1984 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jaroslav Seifert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.