1 Aprili
Mandhari
(Elekezwa kutoka Aprili 1)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Aprili ni siku ya 91 ya mwaka (ya 92 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 274.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1605 - Uchaguzi wa Papa Leo XI
- 1979 - Nchi ya Iran inatangazwa kuwa Jamhuri ya Kiislamu
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1220 - Go-Saga, mfalme mkuu wa Japani (1242-1246)
- 1430 - Mehmed II, Sultani wa Milki ya Osmani
- 1815 - Otto von Bismarck, Chansella wa Dola la Ujerumani (1862-1890)
- 1865 - Richard Zsigmondy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1925
- 1873 - Sergei Rachmaninoff, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1919 - Joseph Murray, daktari kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1990
- 1920 - Toshiro Mifune, mwigizaji wa filamu kutoka Japani
- 1933 - Claude Cohen-Tannoudji, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1997
- 1940 - Wangari Maathai, mwanasiasa kutoka Kenya na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 2004
- 1948 - Jimmy Cliff, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 1970 - Method Man, mwanamuziki wa Marekani
- 1973 - Christian Finnegan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1981 - Dan Mintz, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 304 - Mtakatifu Papa Marcellino
- 1933 - Charles Andler, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 1968 - Lev Landau, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1962
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Venansi, Anastasi na wenzao, Agape na Kionia, Maria wa Misri, Valeriko, Selso wa Armagh, Ugo wa Grenoble, Gilbati wa Caithness, Lodoviko Pavoni n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |