Nenda kwa yaliyomo

5 Januari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Des - Januari - Feb
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 5 Januari ni siku ya tano ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 360 (361 katika miaka mirefu).

Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sinkletika wa Aleksandria, Deogratias wa Karthago, Emiliana wa Roma, Konvoyone, Edwadi Muungamadini, Gerlako, Yohane Nepomuseni Neumann, Karoli wa Mlima Argus, Genoveva Torres Morales n.k.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 5 Januari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.