Nenda kwa yaliyomo

Beverly Aadland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Beverly Aadland
Jina la kuzaliwa Beverly Elaine Aadland
Alizaliwa 16 Septemba 1942
Marekani
Kafariki 5 Januari 2010 (aged 67) Lancaster, California, U.S.
Jina lingine Beverly Fisher
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1951 - 1959
Ndoa Maurice Jose de Leon (1961–1964) Joseph E. McDonald (1967–1969) Ronald Fisher (1969–2010)
Watoto 1

Beverly Elaine Aadland (16 Septemba 1942 - 5 Januari 2010 [1] alikuwa mwigizaji filamu ambaye alionekana katika idadi ya filamu mwaka wa 1950.

Mwaka wa 1961, mamake Beverly, Florence Aadland, alidai katika kitabu The Big Love kwamba muigizaji Errol Flynn alikuwa na uhusiano wa kingono na binti yake wakati akiwa na miaka 15[2] [3] Iligeuzwa baadaye kuw mchezo Tracey Ullman akiwa muigizaji mkuu. [4] [5] Beverly Aadland alitoa akaunti ya uhusiano wake na Flynn katika People mwaka wa 1998. [6]

Kifo cha Flynn

[hariri | hariri chanzo]

Alikuwa pamoja na Flynn alipo kufa kutokana na ugonjwa wa moyo 14 Oktoba 1959 huko Vancouver, British Columbia. [7]

  • Death of a Salesman (1951)
  • South Pacific (1958) kama Nurse katika Onyesha la shukrani.
  • Cuba Rebel Girls Cuba Rebel Girls (1959) kama Beverly Woods
  • The Red Skelton Show (1959) kama Beatnik Girl
  1. Los Angeles Times obituary Accessed 10 Januari 2010
  2. Smith, Jack (1985-12-30). "A few more literary favorites among the best of the firsts and the best of the lasts". Los Angeles Times. {{cite news}}: |access-date= requires |url= (help); Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
  3. Aadland, Florence (1986). The Big Love (tol. la reprint). Grand Central Pub. ISBN 0446301590. {{cite book}}: Unknown parameter |coauthors= ignored (|author= suggested) (help)
  4. Richards, David (1991-04-14). "Secret Sharers: Solo Acts in a Confessional Age". New York Times. Iliwekwa mnamo 2009-02-15. {{cite news}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
  5. Simon, John (1991-03-18). "Two from the Heart, Two from Hunger". New York Magazine. ku. 76–77. Iliwekwa mnamo 2009-02-15. {{cite news}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
  6. Aadland, Beverly (17 Oktoba 1988). "Errol Flynn's Pretty Baby". People. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-15. Iliwekwa mnamo 10 Januari 2010.
  7. obituary Los Angeles Times, 10 Januari 2010.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]