Errol Flynn
Mandhari
| | |
| Jina la kuzaliwa | Errol Leslie Thomson Flynn |
| Alizaliwa | 20 Juni 1909 |
| Kafariki | 14 Oktoba 1959 |
| Kazi yake | Mwigizaji |
| Miaka ya kazi | 1932 - 1959 |
| Ndoa | Lili Damita (1935-1942) Nora Eddington (1943-1949) Patrice Wymore (1950-1959) |
| Watoto | Sean Flynn Deirdre (alizaliwa 1945) Rory (alizaliwa 1947) Arnella Roma (1953–1998) |
Errol Leslie Thomson Flynn (20 Juni 1909 - 14 Oktoba 1959) alikuwa mwigizaji filamu maarufu wa Kimarekani.